Miaka kumi na tatu ya Moto wa uamsho tunamtaka Bwana na nguvu zake
Zoe FM imejitolea kuweka mtandao na kushirikiana na mashirika na watu binafsi wenye nia sawa kote ulimwenguni ili kuendeleza kwa ufanisi zaidi madhumuni yaliyowekwa katika taarifa yetu ya dhamira. Hata hivyo, ikiwa biashara yako ingependa kuwa mfuasi na kuwafahamisha wasikilizaji wetu kukuhusu; tafadhali, jisikie huru kuwasiliana nasi kwa urahisi wako wa mapema!.
Sio matangazo! Ni kupanda mbegu! Ni athari kwa Kristo!
Kuunganisha Imani ya Kikristo na Makanisa katika jumuiya yetu yote
Kua njia ya kuaminika ya mabadiliko chanya katika jumuiya yetu kwa kutoa maudhui yanayobadilisha maisha.
Ubora, Uaminifu, Uadilifu,Umoja, Uwajibikaji, Kujitolea na Maombi.
Askofu mkuu wa TAG mnamo tarehe 28 mwezi wa pili aliapishwa Rasmi na kua Mwenyekiti wa CPCT.
Semina za ILI zinatarajiwa kuanza hivi karibuni hivyo basi viongozi na wanachama wote wanaotakiwa kuhudhulia msipange kukosa.
Kwenye semina za uongozi za ili kutakua na Mafunzo pia kuhusu Mfumo wetu wa Bezaleli hivyo basi Kamati za Sehemu, Kamati za Idara Sehemu na Jimbo mnahimizwa kuhudhulia.
soma zaidiKutakua na Semina ya Uongozi ya ILI zitakazofanyika CCT, Morogoro hivyo basi Waalimu wa Vyuo Mama na Wenza Wao wanahimizwa kufika bila kukosa.
soma zaidiKutakua na kikao cha tathmini ya robo ya I ya mwaka kitakachofanyika Morogoro na wahusika wakuu ni Kamati ya Utendaji /Menejimenti
soma zaidi