Wasifu

Mch. NIMROD SWAI

Mtunza Hazina Mkuu wa TAG

Jina Kamili : Nimrod Laban Swai
Kuzaliwa : 09 June, 1984
Alipozaliwa : Kilimanjaro
Jinsia : Mwanaume
Hali ya ndoa : Ameoa
Anwani ya ofisi : S.L.P 1760 DODOMA-TANZANIA
Utaifa : Tanzania
Lugha : Kiingereza na Kiswahili
Kiwango cha elimu : Shahada ya Elimutembelea kurasa

HISTORIA YA KIROHO

Tarehe aliyookoka : 20001
Alipookokea : ARUSHA
Tarehe aliyopokea wito : 2014
Tarehe alioanza huduma : 2014

TAARIFA ZA KIELIMU

TAASISI/SHULE/CHUO MWAKA NGAZI ALIYOFIKIA
Shule ya Theolojia Afrika Mashariki Nairobi Kenya 2010-2011 BA katika Theolojia ya Biblia (BA/B.Th)
Chuo cha Dar Es Salaam (UDSM). 2006-2009 BA katika Elimu
 • UZOEFU WA KAZI NA HUDUMA

 • Uchungaji

  Amekua Mchungaji (2014-Mpaka sasa).

 • Mchungaji msaidizi

  Amekua mchungaji msaidizi (2012-2014).

 • Mtunza hazina Mkuu

  Amekua mtunza hazina mkuu wa TAG (2022-mpaka sasa).

 • Uongozi wa Kanisa

  Uzoefu wa uongozi wa kanisa (2014-2022).

 • Mtunza hazina wa Jimbo

  Amekuwa Mtunza hazina wa jimbo (2020-2022).

 • MAJUKUMU YA SASA

 • Shughuli za utawala na uongozi

  Mtunza Hazina Mkuu wa Tanzania Assemblies of God.

 • MAJUKUMU MENGINE

 • Usimamizi

  Kusimamia Shughuli za usimamizi wa fedha ofisi kuu.

 • Usimamizi wa Ofisi Kuu

  Kusimamia ofisi nzima ya TAG makao makuu na uendeshaji wake.

Vyeti vya Taaluma na Uanachama

 • Shahada ya Biblia na Theolojia
 • Shahada ya Elimu

Nukuu

Uamsho ni Ajenda yetu.

Rev. Dktr Barnabas MtokambaliASKOFU MKUU

Saa ya Uamsho ni Sasa.

Rev. Joseph MarwaKATIBU MKUU