GLOBAL EVANGELISTS TRAINING INSTITUTE
Mkuu wa chuo cha GLOBAL EVANGELISTS TRAINING INSTITUTE (GETI). Anakutangazia muhula mpya wa masomo ewe muinjilisti, fomu za kujiunga zinapatikana katika tovuti ya hii. Tembelea: www.tag.or.tz/site/geti

Fuata maelekezo yaliyopo katika kipeperushi ili uweze kupata cheti chako. kwani ni rahisi na haraka zaidi.
Kutakua na kikao maalum cha Baraza la waangalizi kitakachofanyika CBC dodoma kuanzia tarehe 21-25/08/2023.
Kutakua na Ibada kubwa ya kusifu na kuabudu iliyoandaliwa na Idara ya muziki na uimbaji kitaifa litakalofanyika tarehe 22/07/2023.
Chuo cha ACTS kinakukaribisha katika muhula wa masomo 2023/2024 katika shahada ya uzamili. Fomu zinapatikana katika tovuti yao, tembelea "actseminary.education"
Kongmano la DLD Kitaifa lililofanyika Bagamoyo kuanzia tarehe 26/06 mpaka 01/07/2023.
Kwaya ya Kinondoni Revival toka kanisa la Kinondoni Revival ilipoalikwa bungeni.
Pongezi kwa Askofu wetu Mkuu kwa kuchaguliwa kua Mwenyekiti Mpya wa Balaza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) 2023-2025
Uamsho ni Ajenda yetu.
Saa ya Uamsho ni Sasa.