Rev, Dktr. MAGNUS MHICHE
Makamu Askofu Mkuu wa TAG
Jina Kamili | : Magnus Mpendakula Mhiche (DR) |
Kuzaliwa | : 6 februali, 1954 |
Alipozaliwa | : Kilombero |
Jinsia | : Mwanaume |
Hali ya ndoa | : Ameoa |
Anwani ya ofisi | : S.L.P 8427 DODOMA-TANZANIA |
Utaifa | : Tanzania |
Lugha | : Kiingereza na Kiswahili |
Kiwango cha elimu | : Daktari |

TAARIFA ZA KIELIMU
TAASISI/SHULE/CHUO | MWAKA | NGAZI ALIYOFIKIA |
---|---|---|
Kituo cha Theolojia ya Utume na Uinjilisti ASIA-SINGAPORE | 1986-1987 | Ngazi ya Cheti katika Uongozi na Uchungaji |
Taasisi ya Elimu ya Watu wazima | 1981-1982 | Astashahada ya Kiingereza kama Lugha ya Kigeni |
Chuo cha Biblia Mbeya | 1977-1979 | Stashahada ya Theolojia katika Biblia |
Taasisi ya Ukuzaji Mauzo | 1974 | Astashahada katika Utunzaji wa stoo na akaunti za Stoo |