Wasifu

Mch. JOSEPH MARWA

Katibu Mkuu wa TAG

Jina Kamili : Joseph Gabriel Marwa
Kuzaliwa : 10 Machi, 1968
Alipozaliwa : Tarime - Mara
Jinsia : Mwanaume
Hali ya ndoa : Ameoa
Anwani ya ofisi : S.L.P 1760 DODOMA-TANZANIA
Utaifa : Tanzania
Lugha : Kiingereza na Kiswahili
Kiwango cha elimu : Diploma ya juutembelea kurasa

HISTORIA YA KIROHO

Tarehe aliyookoka : 1992
Alipookokea : DAR ES SALAAM
Tarehe aliyopokea wito : 2001
Tarehe alioanza huduma : 2005

TAARIFA ZA KIELIMU

TAASISI/SHULE/CHUO MWAKA NGAZI ALIYOFIKIA
Central bible College, Dodoma - Tanzania 2004-2007 Shahada ya Sanaa katika biblia na theolojia
College of Business Education. Dar Es Salaam - Tanzania 1992-1995 Diploma ya juu
 • UZOEFU WA KAZI NA HUDUMA

 • Uchungaji

  Amekua Mchungaji (2005-Mpaka sasa).

 • Katibu wa jimbo

  Amekua Katibu wa jimbo (2010).

 • Muwezeshaji

  Amekua Muwezeshaji wa mpango mkakati.

 • Uinjilisti

  Amekua muinjilisti wa kitaifa (2005-Mpaka sasa).

 • Katibu mkuu

  Amekua Katibu Mkuu (2022 - Mpaka sasa).

 • MAJUKUMU YA SASA

 • Shughuli za utawala na uongozi

  Katibu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God.

 • MAJUKUMU MENGINE

 • Usimamizi wa Ofisi Kuu

  Kusimamia ofisi nzima ya TAG makao makuu na uendeshaji wake.

Vyeti vya Taaluma na Uanachama

 • Shahada ya Sanaa katika biblia na theolojia
 • Diploma ya juu katika sheria viwanda na metrology

Nukuu

Uamsho ni Ajenda yetu.

Rev. Dktr Barnabas MtokambaliASKOFU MKUU

Saa ya Uamsho ni Sasa.

Rev. Joseph MarwaKATIBU MKUU