Miaka kumi na tatu ya Moto wa uamsho tunamtaka Bwana na nguvu zake
Kuhusu Bezaleli
Angalia, nimemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda; nami nimemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina, ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba, na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote. Kutoka 31:2-5 (SUV).

HUDUMA ZA BEZALELI
Sajili kamati za majimbo, sehemu pamoja na kamati za idara ngazi zote
Fahamu mwenendo wa utekelezaji wa mpango mkakati katika kila ngazi.
Pata takwimu za moja kwa moja za fedha katika ngazi zote.
Pakia picha na sahihi kupata kitambulisho cha uchungaji na uongozi.
Sajili taarifa za makanisa, sehemu, majimbo na wachungaji.
Fanya malipo yote ya kanisa kwa njia ya control numbers.
Nawezaje kutumia Mfumo?, ili kujua namna ya kutumia Mfumo.