Wasifu

Rev, Dktr. BARNABAS MTOKAMBALI

Askofu Mkuu wa TAG

Jina Kamili : Barnabas Weston Mtokambali (DR)
Kuzaliwa : 12 Aprili, 1962
Alipozaliwa : Rudewa
Jinsia : Mwanaume
Hali ya ndoa : Ameoa
Anwani ya ofisi : S.L.P 1760 DODOMA-TANZANIA
Utaifa : Tanzania
Lugha : Kiingereza na Kiswahili
Kiwango cha elimu : Daktaritembelea kurasa

HISTORIA YA KIROHO

Tarehe aliyookoka : Juni 1980
Alipookokea : KIGOMA
Tarehe aliyopokea wito : 1981
Tarehe alioanza huduma : 1983
Kupanda kanisa la kwanza : 1987

TAARIFA ZA KIELIMU

TAASISI/SHULE/CHUO MWAKA NGAZI ALIYOFIKIA
Shule ya Theolojia Afrika Mashariki Nairobi Kenya 1984-1987 BA katika Theolojia ya Biblia (BA/B.Th)
Seminari ya Kimataifa ya Kitheolojia Los-Angels USA 1992-1994 Uzamili wa Uungu (M.DIV)
Seminari ya Kimataifa ya Kitheolojia Los Angels USA 1999-2000 Mwalimu wa Theolojia (T.hm)
Assemblies of God Seminari ya Theolojia Springfield-Missouri 2001-2003 Uzamivu wa Huduma (D.Min)
 • UZOEFU WA KAZI NA HUDUMA

 • Uchungaji

  Amekua Mchungaji kwa zaidi ya miaka 30 (1983-Mpaka sasa).

 • Katibu wa sehemu

  Amekua Katibu wa sehemu kwa miaka 3 (2007-2009).

 • Makamu Askofu wa jimbo

  Amekua Makamu Askofu wa Jimbo kwa miaka 2 (2001-2002).

 • Askofu wa jimbo

  Amekua Askofu wa Jimbo kwa miaka 3 (2004-2004).

 • Makamu Askofu Mkuu

  Amekua Makamu Askofu Mkuu kwa miaka 4 (2004-2008).

 • Askofu Mkuu

  Amekua Askofu Mkuu kwa zaidi ya miaka 15 (2008-Mpaka sasa).

 • Profesa

  Amekua Profesa kamili wa Biblia na Theolojia katika chuo kikuu cha Global University kwa Shahada ya wahitimu na Wahitimu kwa zaidi ya miaka 14 (1999-Mpaka sasa).

 • Uongozi wa Kanisa

  Uzoefu wa uongozi wa kanisa kwa zaidi ya miaka 40 (1981-Mpaka sasa).

 • MAJUKUMU YA SASA

 • Shughuli za utawala na uongozi

  Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God.

 • Mjumbe wa Bodi Kimataifa

  Mjumbe wa Bodi ya Ushirika wa Makanisa ya Kipentekoste Duniani (WPF)

 • Mjumbe wa bodi ya Chuo

  Mjumbe wa Bodi ya Chuo Cha Assemblies of God Seminari ya Theolojia Springfield-Missouri

 • Shughuli za Kiuchungaji

  Mchungaji kiongozi wa kanisa la Bethel Revival Temple.

 • Mjumbe wa Halmashauri

  Mjumbe wa Chama cha Biblia Tanzania.

 • Mjumbe wa Halmashauri

  APTEA (Association of Pentecostal Theological Education in Africa).

 • MAJUKUMU MENGINE

 • Usimamizi

  Kusimamia Shughuli za uendeshaji wa makanisa ya mahali pamoja zaidi ya 6000 yaliyoenea nchi nzima.

 • Usimamizi wa Ofisi Kuu

  Kusimamia ofisi nzima ya TAG makao makuu na uendeshaji wake.

 • Mwenyekiti


  Kua Mwenyekiti wa mikutano mikuu yote, Mabaraza ya utendaji na waangalizi na kamati tendaji za TAG.

Vyeti vya Taaluma na Uanachama

 • Diploma ya Biblia na Theolojia
 • Shahada ya Biblia na Theolojia
 • Shahada ya uzamili (M.Div) ya Uungu
 • Shahada ya uzamili (T.hm) ya Theolojia
 • Daktari wa Wizara (D.Min)

Habari za Hivi Karibuni

SEMINA ZA ILI

Semina za ILI zinatarajiwa kuanza hivi karibuni hivyo basi viongozi na wanachama wote wanaotakiwa kuhudhulia msipange kukosa.

Limetolewa na Ofisi Kuu

Matukio ya Hivi karibuni kwa mwezi huu

Mafunzo ya Bezaleli

Kwenye semina za uongozi za ili kutakua na Mafunzo pia kuhusu Mfumo wetu wa Bezaleli hivyo basi Kamati za Sehemu, Kamati za Idara Sehemu na Jimbo mnahimizwa kuhudhulia.

soma zaidi
27 - 31 Ma

Semina ya Uongozi ya ILI

Kutakua na Semina ya Uongozi ya ILI zitakazofanyika CCT, Morogoro hivyo basi Waalimu wa Vyuo Mama na Wenza Wao wanahimizwa kufika bila kukosa.

soma zaidi