Bofya hapa ili kuficha ufunguo au kusomaMaana za rangi zilizotumika katika tarehe kuonesha ukubwa wa tukio na wahusika wakuu.

JANUARY

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1 Ibada /Sikukuu ya Mwaka Mpya Makanisani Washirika wote
9 Kufika Wajumbe wa Halmashauri Kuu CBC DODOMA Wajumbe wa H/Kuu
10 Kikao cha Halmashauri Kuu CBC DODOMA Wajumbe wa H/Kuu
10 Kufika Wajumbe wa Baraza la Watendaji CBC DODOMA Wajumbe wa Baraza
11 - 15 Vikao vya Baraza la Watendaji CBC DODOMA Wajumbe wa Baraza
16jan - 05feb Maombi Maalum ya Uamsho ya kitaifa ya Siku 21 Makanisani nchi nzima Washirika wote

FEBRUARI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
7-9 Konferensi za Majimbo Kanda ya Kusini Mashariki Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
7-9 Konferensi za Majimbo Kanda ya Kaskazini Mashariki Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
14-16 Konferensi za Majimbo Kanda ya Ziwa Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
14-16 Konferensi za Majimbo Kanda ya Magharibi Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
21-23 Konferensi za Majimbo Kanda ya Kati Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
21-23 Konferensi za Majimbo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
23-25 Konferensi za Majimbo Kanda ya Kaskazini Majimbo husika Wajumbe halali wa Kikatiba
27... Wiki la WWK Makanisani WWK wote

MACHI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1-5 Wiki la WWK Makanisani WWK wote
13-17 Semina ya Uongozi ya ILI Kanda ya Kaskazini – Chuo Cha NBC Kamati za Sehemu, Kamati za Idara Sehemu na Jimbo
20-22 Mkutano Mkuu AAGA ACCRA Ghana Askofu Mkuu
20-24 Semina ya Uongozi ya ILI Kanda ya Kati – Chuo Cha CBC Kamati za Sehemu, Kamati za Idara Sehemu na Jimbo
27-31 Semina ya Uongozi ya ILI CCT, Morogoro Waalimu wa Vyuo Mama na Wenza Wao

APRILI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
...2 Semina ya Uongozi ya ILI CCT, Morogoro Waalimu wa Vyuo Mama na Wenza Wao
7 Ijumaa Kuu Makanisani Washirika wote
9 Pasaka Makanisani Washirika wote
10 Jumatatu ya Pasaka Makanisani Washirika wote
11-13 Kikao cha Tathmini Robo ya I Morogoro Kamati ya Utendaji /Menejimenti
17-21 Semina ya Uongozi ya ILI Kanda ya Ziwa – Chuo Cha LVBC Kamati za Sehemu, Kamati za Idara Sehemu na Jimbo
24-28 Semina ya Uongozi ya ILI Kanda ya Magharibi – Chuo Cha WBC Kamati za Sehemu, Kamati za Idara Sehemu na Jimbo.

MEI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
1-7 Wiki ya Idara ya Wanaume (CMF) Makanisani CMF wote
7 Makongamano ya Uamsho – Wiki ya Pentekoste Makanisani Washirika wote

JUNI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
5-11 Wiki ya Idara ya Watoto na Wanafunzi Makanisani Idara ya Watoto na Wanafunzi
12-16 Mkutano Mkuu wa Idara ya CAs Taifa CBC DODOMA Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu CAs
19-23 Mkutano Mkuu wa Idara ya WWK Taifa CBC DODOMA Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu WWK
19-23 Mafunzo ya Ancient Promise Livingstone Seminary, Muheza, Tanga Kamati zote za Sehemu-Kanda ya Kaskazini Mashariki
21-23 Kongamano la Kimataifa la Wainjilisti (Global Evangelist Alliance) Amsterdam - Uholanzi Wainjilisti
25-30 Mkutano Mkuu wa Idara ya DLD (Bodi Kufika tar.25; Wajumbe Kufika tar.26) Beroya-Bagamoyo Waalimu Wote na Kamati za DLD Taifa hadi Kanisa la Mahali Pamoja
26-30 Mafunzo ya Ancient Promise Zanzibar Wachungaji Wote Jimbo la Zanzibar

JULAI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
3-7 Makambi ya Watoto wa Wachungaji - PCF Kimkoa Watoto wote wa Wachungaji
10-12 Kikao cha Tathmini (Ofisi Kuu) Robo ya II Morogoro Kamati ya Utendaji / Management
18-22 Kambi ya Maombi Jimbo (District Upper Room Prayer Camp – “DUR-PC”) Majimboni Wanamaombi wote toka Idara, Sehemu na makanisani Jimbo Husika
31.... Wiki ya Uinjilisti Makanisani Idara ya Uinjilisti

AGOSTI

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
....6 Wiki ya Uinjilisti Makanisani Idara ya Uinjilisti
21 Wajumbe wa Halmashauri Kuu Kuwasili na Ufunguzi wa Kikao CBC DDODOMA Wajumbe wote wa Halmashauri Kuu
22 Kikao cha Halmashauri Kuu CBC DODOMA Wajumbe wote wa Halmashauri Kuu
22 Wajumbe wa Baraza la Waangalizi kuwasili na Ufunguzi wa Baraza la Waangalizi CBC DODOMA Wajumbe Baraza la Waangalizi
23-25 Kikao cha Baraza la Waangalizi CBC DODOMA Wajumbe Baraza la Waangalizi

SEPTEMBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
25-30 Wiki ya Idara ya Vijana Makanisani Idara ya CAs

OKTOBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
....1 Wiki ya Idara ya Vijana Makanisani Idara ya CAs
4-7 Kikao cha Tathmini Robo ya III na Bajeti 2024 Morogoro Kamati ya Utendaji /Menejimenti
11-14 9th World Assemblies of God Congress Madrid, Spain Wachungaji wote

NOVEMBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
4 Mahafali ya Vyuo vya GHBC, GU & SEBCO Dar Es Salaam & Lindi GHBC, GU & SEBCO
7 Mahafali ya Vyuo vya NBC & SBC Mbeya & Arusha NBC & SBC
9 Mahafali ya Vyuo vya LVBC & WBC Mwanza & Tabora LVBC & WBC
11 Mahafali ya Vyuo vya CBC & ACTS DODOMA CBC & ACTS
12-17 Kongamano la Taifa la Kusifu na Kuabudu CBC DODOMA Walimu wa Kwaya, Waimbaji binafsi, Vikundi vya Kusifu na Kuabudu
20-24 Mkutano Mkuu wa Idara ya Uinjilisti (Konferensi ya Wainjilisti) CBC DODOMA/td> Wainjilisti wote ngazi zote
27-30 Kambi ya Maombi Taifa (National Upper Room Prayer Camp – “NUR-PC”) CBC DODOMA Wanamaombi wote toka Idara, Majimbo, Sehemu na makanisani

DESEMBA

TAREHE SHUGHULI MAHALI WAHUSIKA
3 Siku ya Kuwapongeza Wachungaji Makanisani Washirika wote pamoja na Wachungaji
7-11 Makongamano ya Wanafunzi wa Vyuo na Sekondari – CASFETA Kimkoa Wanafunzi na Viongozi wa Vyuo na Sekondari
25 Sikukuu ya Krismasi Makanisani Washirika wote
26 Boxing day