Sisi ni Nani?
Tanzania Assemblies of God (TAG) ilisajiliwa tarehe 21/10/1981 chini ya sheria ya Societies Ordinance ya mwaka 1954 na kupewa namba ya usajili SO. 6246.
soma zaidiMakao Makuu
Mnamo tarehe 01/11/2021 Makao Makuu ya kanisa letu yamehamia Dodoma na huduma zetu zote zinatolewa mkoani Dodoma karibu
Bezaleli
Sasa tuna mfumo wa kidigitali uitwao Bezaleli, ili kuweza kuingia kwenye mfumo wetu tafadhali Bofya Hapa
VIONGOZI WA KAMATI KUU
TAKWIMU
Nukuu
Uamsho ni Ajenda yetu.
Saa ya Uamsho ni Sasa.